Saturday, 3 September 2016

jinsi

KARIBU KUJIFUNZA JINSI YA CONVERT VIDEO
KUTUMIA VLC FUATA HATUA HIZI
STEP NUMBER 1
FUNGUA VLC YAKO
STEP NUMBER 2
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA MEDIA
 
STEP NUMBER 3
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA CONVERT/SAVE..

STEP NUMBER 4
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA ADD

STEP NUMBER 5
BONYEZA SEHEMU YENYE VIDEO

KISHA CHAGUA VIDEO UPENDAYO ALAFU BONYEZA OPEN
STEP NUMBER 6
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA CONVERT/SAVE...

AU BONYEZA ICHO KIMSHARE ALAFU BONYEZA CONVERT

STEP NUMBER 7
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA VIDEO-H.264+MP3 (MP4)

STEP NUMBER 8
KISHA CHAGUA CHAGUO LAKO KAMA VIDEO YA AINA GANI AU AUDIO


STEP NUMBER 9
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA BROWSE ILI KU SAVE IYO VIDEO NINAYOTAKA
KU CONVERT

STEP NUMBER 10
ANDIKA JINA LA HIYO VIDEO KESHA BONYEZA SAVE

STEP NUMBER 11
BONYEZA SEHEMU ILIO ANDIKWA START

UTAONA INANZA KUTEMBEA KAMA HIVI

HAPO NDIO INA CONVERT HIYO VIDEO IKIMALIZA ITAKUWA TAYARI UMEMALIZA
KU CONVERT VIDEO ALAFU NENDA SEHEMU ULIO ISAVE HIYO VIDEO ITAKUWA
TAYARI UMESHAKAMILISHA KU CONVERT
NASHUKURU KWA KUSOMA SOMO LANGU LA LEO
TUKUTANE KWENYE SOMO LINGINE KAMA UNAUSHAULI
NAOMBA COMMENT AU KAMA SEHEMU UJAELEWA
COMMENT TUSAIDIANE ENDEREA KUTEMBEREA BLOG
HII KUJIFUNZA MENGI ZAIDI





Thursday, 25 August 2016

Download GBWhatsapp v4.81 and Whatsapp+2 v5.10 latest

Image result for gbwhatsapp


Download WhatsApp(Gbwhatsapp) kupata access ya WhatsApp mbili kwa simu yako»»» download na install kwenye Simu yako kisha anza kutumia



 »»Download GBWhatsapp v4.81  


  »»»Download Whatsapp+2 v5.10 

JIUNGE/JIADD WHATSAPP MWENYEWE BILA ADMIN KWA WHATSAPP LINK



Whatsapp imeongeza muonekano wake katika upande wa Kuonfoza wahusika jatika group. Wengi tumezoea kuwekwa kwenye group na kiongozi wa kundi (Admin). Lakini WhatsApp wamewezesha mtu kujiadd mwenyewe katika kundi bila hata ya kuadiwa na Admin. Mtu atajiadd mwenyewe endapo atapata ujumbe wa mualiko(invitation link) kutoka kwa kiongozi(admin) wakundi. Lakini ukiangalia katika whatsapp yako hutaona Mahali palipo andikwa invite with Link. Hivyo basi ili kupara huo muonekano Fuatana nami kwa hatua zifuatazo ili ufanikishe kutengeneza invitation link.
1.uninstall/ondoa whatsapp yako uliyo nayo sasa na  Udownload Wa Prime kwa KubonyezaHapa.

2.Baada yavkudownload Hiyo whatsapp install Kisha ifungue na kufanya usajili kwa mara nyingine na namba yako ile ile.

3.Baada ya kufanya Usajili Ingia kwa group unalotaka ku invite watu  ili wajiunge. Kumbuka ili kutengeneza hii link lazima uwe admin wa hilo group unalotaka kutengeneza Link.

4.Baada ya kuingia kwa hilo group Bonyeza juu walipo andika Group info  Kisha Bonyeza  palipoandikwa Add participant Hapo utaona Sehemu iliyo andikwa invite to group via link.




Hapo utaipata link ya group na kuisambaza kwa rafiki zako ilibwajiunge...


Mfano wa Link ya group tuliyo itengeneza na jinsi link inavyokaa ni hii hapa pia wawezacbonyeza na kujiunga nasi.
 https://chat.whatsapp.com/invite/BMGiNNC7fLCCXhRZMOlAdb

KUMBUKA ILI UTENGEZE HIYO LINK LAZIMA UWE NA WA PRIME, PIA UWE ADMIN KWA GROUPUNATOHITAJI KUTENGEZA HIYO LINK 

***************MWISHO*******

HUHITAJI KULIPIA ANGALIA MPIRA ULAYA,MOVIES NA CHANNELS NYINGI ZA TV NIZAIDI YA KING'AMUZI .DOWNLOAD APP HAPA




Sasa unaweza kuangalia Mpira ulaya ukiwa na app ya Mobidro kama huna bonyeza kudownload  DOWNLOAD HERE  unaweza ku-Stream  mpira kwa channel nyingi kama vile ESPN,Skyspot,BT sports,NBA,NBC,Bein sprts pamoja na channels nyingine nyingi za michezo mbali mbali ...wapenda ligi za ulaya huu ndo muda wenu....
Pia kuna channels za Music. Maarufu duniani kama vile BET,MTV, n.k .... Endelea kuinjoy
                    
                     TV channels








JINSI YA KUONDOA ROOTING KWENYE SIMU YAKO( UNROOT)

Leo tujifunze jinsi ya kuondoa Rooting access katika Simu/kifaa ya/cha android iliyokuwa rooted. Lakini kumbuka unaweza Root kifaa chako cha android kwa kutumia application mbalimbali zenye kuweza kufanikisha suala hili. Kwa mfano unaweza tumia  King root,iroot,kingo root(kwa pc pekee) na apps nyingine nyingi japo tulizozizoea ndo hizo.. Leo tutafahamishana jinsi ya juondo rooting katika kifaa chako ikiwa umeshafanya rooting na application yoyote ile.
  Kwanza tuanze na walio root na application ya  Kingroot  kuwa unaweza ku unroot/ kuondoa rooting access kwa kutumia hiyo hiyo  Kingroot . Fuata hatua zifuatazo ili kuondoa  Rooting access

1. Fungua app ya  kingroot  kwenye simu yako na uchague mahali palipo andikwa General Setting

2.Baada ya kuchagua general setting. Chagua mahali palipo andikwa Uninstall Kingroot.

3.Ukishachagua ku unroot kingroot itakwambia uhakikishe kama kweli umedhamiria kuondoa rooting katika simu yako. Baada ya hapo utaruhusu ku unroot king root kwa kubonyeza continue na simu yako itakua unrooted.


Unroot kwa kingoroot

1.hakikisha simu yako imewashwa na ina asimilia za chaji kuanzia 50%. Pia kwenye Simu yako hakikisha ume wezesha(enable) USB debugging....kuwezesha ingia Setting>>Developer option>>usb debugging.

2.Baada ya hapo  Download Kingoroot (pc)  na run katika konpyuta yako kisha chomeka Kifaa chako cha android kwa kutumia waya wa usb hakikisha computer yako imeunganishwa na intaneti.

3.Baada ya kuchomeka subiri kidogo jina la kifaa chako litatokea  na kutakua na machaguo mawili 1.Remove Root na 2. Root Again. Chagua remove root na uache iendelee .


4. Itaendelea kukuonyesha asilimia iki kujua kuwa hatua gani imefikia kuondoa root access kwa simu yako

5.Baada ya kufikia asilimia 100% ..Kifaa chako kitakua kimeondolewa access ya rooting. Restart Simu yako na uendelee kuitumia kawaida.

Kumbuka unaweza root kwa mara nyingine utakapo amua kuroot.

**********Mwisho******