Leo tujifunze jinsi ya kuondoa Rooting access katika Simu/kifaa ya/cha android iliyokuwa rooted. Lakini kumbuka unaweza Root kifaa chako cha android kwa kutumia application mbalimbali zenye kuweza kufanikisha suala hili. Kwa mfano unaweza tumia King root,iroot,kingo root(kwa pc pekee) na apps nyingine nyingi japo tulizozizoea ndo hizo.. Leo tutafahamishana jinsi ya juondo rooting katika kifaa chako ikiwa umeshafanya rooting na application yoyote ile.
Kwanza tuanze na walio root na application ya Kingroot kuwa unaweza ku unroot/ kuondoa rooting access kwa kutumia hiyo hiyo Kingroot . Fuata hatua zifuatazo ili kuondoa Rooting access
1. Fungua app ya kingroot kwenye simu yako na uchague mahali palipo andikwa General Setting

2.Baada ya kuchagua general setting. Chagua mahali palipo andikwa Uninstall Kingroot.
3.Ukishachagua ku unroot kingroot itakwambia uhakikishe kama kweli umedhamiria kuondoa rooting katika simu yako. Baada ya hapo utaruhusu ku unroot king root kwa kubonyeza continue na simu yako itakua unrooted.
Unroot kwa kingoroot
1.hakikisha simu yako imewashwa na ina asimilia za chaji kuanzia 50%. Pia kwenye Simu yako hakikisha ume wezesha(enable) USB debugging....kuwezesha ingia Setting>>Developer option>>usb debugging.
1.hakikisha simu yako imewashwa na ina asimilia za chaji kuanzia 50%. Pia kwenye Simu yako hakikisha ume wezesha(enable) USB debugging....kuwezesha ingia Setting>>Developer option>>usb debugging.
2.Baada ya hapo Download Kingoroot (pc) na run katika konpyuta yako kisha chomeka Kifaa chako cha android kwa kutumia waya wa usb hakikisha computer yako imeunganishwa na intaneti.
3.Baada ya kuchomeka subiri kidogo jina la kifaa chako litatokea na kutakua na machaguo mawili 1.Remove Root na 2. Root Again. Chagua remove root na uache iendelee .
3.Baada ya kuchomeka subiri kidogo jina la kifaa chako litatokea na kutakua na machaguo mawili 1.Remove Root na 2. Root Again. Chagua remove root na uache iendelee .
4. Itaendelea kukuonyesha asilimia iki kujua kuwa hatua gani imefikia kuondoa root access kwa simu yako
5.Baada ya kufikia asilimia 100% ..Kifaa chako kitakua kimeondolewa access ya rooting. Restart Simu yako na uendelee kuitumia kawaida.
Kumbuka unaweza root kwa mara nyingine utakapo amua kuroot.
Kumbuka unaweza root kwa mara nyingine utakapo amua kuroot.
**********Mwisho******
No comments:
Post a Comment